JF Toons Digital Art by JF Joined Feb 19, 2024 Posts 33 Reaction score 73 Mar 14, 2024 #1 Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Mar 14, 2024 #2 Nigundue nini? Story zile zile.. Nitaleta Maji Nitarekebisha barabara Nitasogeza umeme Nitajenga zahanati Nita.. Ova anatusaidia vile wakati ni wajibu wa serikali kufanya ivyo.
Nigundue nini? Story zile zile.. Nitaleta Maji Nitarekebisha barabara Nitasogeza umeme Nitajenga zahanati Nita.. Ova anatusaidia vile wakati ni wajibu wa serikali kufanya ivyo.
JF Toons Digital Art by JF Joined Feb 19, 2024 Posts 33 Reaction score 73 Mar 18, 2024 Thread starter #3 Mad Max said: Nigundue nini? Story zile zile.. Nitaleta Maji Nitarekebisha barabara Nitasogeza umeme Nitajenga zahanati Nita.. Ova anatusaidia vile wakati ni wajibu wa serikali kufanya ivyo. Click to expand... Unashauri nini kifanyike Mkuu?
Mad Max said: Nigundue nini? Story zile zile.. Nitaleta Maji Nitarekebisha barabara Nitasogeza umeme Nitajenga zahanati Nita.. Ova anatusaidia vile wakati ni wajibu wa serikali kufanya ivyo. Click to expand... Unashauri nini kifanyike Mkuu?