unafuu bandarini

unafuu bandarini

Obesity

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
111
Reaction score
46
wakuu,
ukiagiza gari japani kupitia bandari ya mombasa au dar wapi penye unafuu
 
Pitishia dar tu mjomba...ukipitishia mombasa kuna ushuru utalipa kule na ukiingiza tu bongo kuna ushuru mwingine lazima ulipie ili upate usajiri...ukijumlisha ni bora kuleta bongo moja kwa moja...mombasa utapitishia kama TRANSIT maana kama kuingiza kwa kenya ili lisajiliwe kule wanaitaji 2006 model..hiyo ndio tofauti yake...pia mombasa wawezalitoa kwa haraka zaidi...lakini kwa unafuu wa pesa hakuna
 
kote sawa mkubwa zngatia incoterm utakayo tumia ic kusumbue ku clear
 
Back
Top Bottom