Pitishia dar tu mjomba...ukipitishia mombasa kuna ushuru utalipa kule na ukiingiza tu bongo kuna ushuru mwingine lazima ulipie ili upate usajiri...ukijumlisha ni bora kuleta bongo moja kwa moja...mombasa utapitishia kama TRANSIT maana kama kuingiza kwa kenya ili lisajiliwe kule wanaitaji 2006 model..hiyo ndio tofauti yake...pia mombasa wawezalitoa kwa haraka zaidi...lakini kwa unafuu wa pesa hakuna