Ofisho mlinzi
Member
- Nov 8, 2021
- 6
- 0
Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi kushiriki katika maamuzi ambayo moja kwa moja huamua mustakabali wa maisha ya jamii zetu na kizazi kijacho
Imekuwa ni kasumba ambayo imezooleka katika maeneo mengi,wakati muhimu wa jamii zetu kushiriki katika haki yao ya kuamua kumchagua yule ambae wanaamini atakakuwa ni mmoja wa atakae shiriki kinaga ubaga katika kusimamia maendeleo na kuibua changamoto katika jamii zetu na kuzifikisha mahala ambapo tunaamini zinaweza kufanyiwa kazi ,kutumia mbinu ya kuwahadaa wana jamii kwa kuwapatia baadhi ya vitu ambavyo wanavibatiza majina ya kuwa ni zawadi
Katika nukta hii mwa jamii nitavigusia vile vyenye ushahidi ambao hauhitaji uchunguzi kutoka katika taasisis rasmi zinazo husika na kupamba na kuzuia tuhuma hizo
1. Kuwapatia vijana wanao jihusicha na michezo vifaa vya michezo hasw awale wanao jihusisha na mpira wa miguu: Ndugu amakijana mwenzangu ambae unahaki ya kushiriki katika kumchagua mwakilishi wako fahamu ya kuwa ukishawishika kumpa kura yako mtu alie kuletea vifaa hivyo bila kuchakata vyema sera zake juu yamustskabali wa jamii ya yako basi utambue ya kuwa utakua umeshiriki kuhujumu mustakabali wa maisha ya watoto wako,mkeo,wazazi wako na jamaii nzima
Kwani watu wengi wanaotumia mbinu za namna hii huwa sio wawajibikaji hivyo huitelekeza jamii na kusimamia maslahi yao
2. Kuwapatia wakina mama kanga na vitenge vilivyo nakshiwa kwa alama a rangi za vyama husika
3. Kuwakusnya wananchi na kuwapikia chakula