Unahic sabab ya bod ya mikopo kuchelewa kutoa majina kwa mwka wa masomo 2012/13 ni ip?

Unahic sabab ya bod ya mikopo kuchelewa kutoa majina kwa mwka wa masomo 2012/13 ni ip?

Erny

New Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
3
Reaction score
0
sababu ya tume ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kuchelewesha kutoa majina ya waliopata na kukosa mkopo kwa mwka wa masomo 2012/13 na vyuo ndo vinaanza kufungua
 
Walioomba loan kwa mwaka huu ni wengi..Xo me naona kama vile wameshindwa kuwachambua wa2 wa kuwapa na kuwanyima
 
hakuna alie fika Tildo Complex Kimweli atupe taarifa
 
Kuwen wavumiliv wa jf kaz sio ndogo kama unavyofikiria 7bu nying tu ikiwemo tcu wenyewe dedline ya applcn mpaka tar 17 sept na wale ma diploma NTA level 6 NA NON NTA level 6 bado awajawa approved na nacte then yapelekwe hslb ndo watoe kwa jumla wote.
 
Hawa HESLB washenzi tu kama wanahakika ya lini watatoa majina wangetupatia date, hata wangesema kua mwaka huu majina yatatoka decemba watu tunge elewa na tungesepa vyuoni kwa semista moja wakati tukisubili mahela.
 
Back
Top Bottom