Walioomba loan kwa mwaka huu ni wengi..Xo me naona kama vile wameshindwa kuwachambua wa2 wa kuwapa na kuwanyima
Kuwen wavumiliv wa jf kaz sio ndogo kama unavyofikiria 7bu nying tu ikiwemo tcu wenyewe dedline ya applcn mpaka tar 17 sept na wale ma diploma NTA level 6 NA NON NTA level 6 bado awajawa approved na nacte then yapelekwe hslb ndo watoe kwa jumla wote.