Unahisi hapo alikuwa anasema wachukue ngapi ngapi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana.
 
Ila nchimbi mwanaume yaani misukosuko aliyopitia huko kuanzia kwenye team blah blah tena bila kificho[emoji205] wenzake wote wengi chali ila yeye kidume anaendelea kuaminiwa na kupewa mikoba
 
Na pipi anafungasha!
 
Nchimbi sijui alitaka kuchukua na za kusafiri nazo ?[emoji3][emoji3][emoji3]

Aliposhuhudia Jicho la Bosi lipo kwny Vidole vyake naona akaamua kuzirudisha baadhi
Kimtindo
[emoji3] [emoji3]
 
Ila nchimbi mwanaume yaani misukosuko aliyopitia huko kuanzia kwenye team blah blah tena bila kificho[emoji205] wenzake wote wengi chali ila yeye kidume anaendelea kuaminiwa na kupewa mikoba
Pengine ameonekana akiwa hapa anaweza kuwa tishio kwa chama acha akafichwe huko chini ya uangalizi wa jicho la mwewe labda atatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…