Unahisi Kafanya dhambi gani hadi Padre ashike kichwa?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari kinajieleza na picha imeambatanishwa mwamba aktubu na Padre kainama kashika kichwa huku kainama mawazo kibao!

Unahisi kafanya dhambi gani ya ajabu hadi kumfanya Padre awe na hali hiyo?

Karibuni tujadili kwa heshima
 
Inawezekana jamaa amemwambia padre anaungama maana amemwambukiza mkewe UKIMWI.

Nimawazo yangu tu
 
Muumuni: Baba mimi ndie nilie mpa mimba yule sista na ndie nilikula mikate na juice jumamosi ile zilizopaswa kuliwa kwenye meza ya bwana jpili
 
Hilo ni pozi tu. Padre akiwa anaendesha maungamo halazimiki kumtazama usoni anayeungama. Hapo ni sehemu wazi hivyo padre kainama kuficha USO. Kwenye vyumba vya maungamo padre na MTU anayeungama wanatenganishwa na pazia.
 
Taarifa ni kuwa mjamaa alimtafuna kijana mvulana wa padri, padri alibaki njiapanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…