Kama wewe ni she, mi nakuchagua wewe. Ila kama ni he.......... am sorry!Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?
Unaogopa nini sasa.-Sijui nimtaje,ila je kama ana mtu si itakua utata hapa teh teh teh!
Mkuu Kaizer, Kwanini ilete ugomvi? Kivipi?hapa italeta ugomvi tu.....take it from me...
eeeh!Unaogopa nini sasa.
Mi namhusudu BWABWA.
Mkubwa PJ, sio kiivyo wewe ulivyojibu, sio lengo la mada yangu, namaanisha kupenda japo kwa mtu mmoja kutokana na maandiko yakeI love every MEMBER OF jf, na post zao wote zinanifurahisha ajabu!I cant imagine loosing a single member!
Ndio mapenzi hayo ndugu husishangae Xpin kadondokea hapo kwa mujibu wa maandiko yake mwenyeweeeeh!
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?
Am sorry Xpin, nafikiri umenielewa
ni yupi hasa anayekupa hamasa na kimuwe muwe kwa uandikaji wake wa posts na threads pamoja na PM?Nampenda kila mmoja kwa kiwango chake, kwa aina yake, na sababu yake. Kupotea kwa hata mmoja ni pigo kubwa sana kwangu.
ni yupi hasa anayekupa hamasa na kimuwe muwe kwa uandikaji wake wa posts na threads pamoja na PM?
"Smile though your heart is aching"...Me saysUmempa jamaa sorry ukimaanisha wewe ni she na tayar una mtu wako au?!
Niwie radhi kama nimekukwaza