Unahisi kumpenda nani hapa JF?

nawapenda members wote wa JF, hasasa bavicha team, my love to you guys...
 
jamani c nyumba kubwa yako afu nyumba ndogo ya mwenzio! Kwani tatizo nini babito loh!

yaani baby wewe, leo unani-frustrate tuuuu, ebu baadae twende outing tukajadili hizi tofauti zetu maana zinaelekea kuvunja uchumba wetu
 
Mkuu watu8 aisee unamuona huyu jamaa anatafuta vita, mshauri akae mbali na wakubwa. Baby Munkari stay away with this man,

Jamani si Nilitanguliza kuomba msamaha kama kuna mtu nitakuwa nimemkwaza kwa kumtaja Munkari?!!
Hahahaaaaa,huyu aliyeanzisha huu uzi nilijua analeta vita humu ndani,bora watu wengine tungebaki na siri zetu moyoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…