Ni kweli The Boss, Je can you mantion those u like most and those you hate most?Some members here i love them a lot...
and some members here i dont like them at all
very boring and time wasting reading anything they write.........
Somaa maandiko yangu utajua mimi ni jinsia ganiNatakujibu vizuri sana ukiniambia wewe ni jinsia gani! Tafadhali sasa fanya hivyo.
Au unataka kunitunuku Ndugu?Natakujibu vizuri sana ukiniambia wewe ni jinsia gani! Tafadhali sasa fanya hivyo.
"Smile though your heart is aching"...Me says
Au unataka kunitunuku Ndugu?
ili wapate nini? Jaribu kuwauliza banaHapa jamvini wengine wanapretend women while they're men and vice versa. .
hahahahahah can you speak this again?kama wewe ni male basi nampenda dada yako au mdogo wako wa kike, and if you a female, then I love anyway.
Mapenzi ni mchanganyiko wa mambo na masuala mengi sana ikiwa ni pamoja na maneno ya kutamka na kuandika, zawadi, na mambo mengine mengi. Kama ndivyo wewe member wa JF ni nani unayehisi kuwa kwa maneno na uandishi wake anaweza kuwa mtu wa karibu kwako na akakupa furaha fulani?
hahahahahah can you speak this again?
AgainNi wewe tu kuamua kuchukua nafasi; if you're a lady, au kumuachia dada yako au mdogo wako wa kike. But, viginity must be there!
Umeandika vyema cheusimangala, asante sananawapenda wote,sina ninayemchukia,wengine nawapendea ucheshi na utani wao,wengine hekima zao,wengine upendo wa kusaidia wengine,l.
nawapenda wote,sina ninayemchukia,wengine nawapendea ucheshi na utani wao,wengine hekima zao,wengine upendo wa kusaidia wengine,lkn jina moja ninaloweza kutaja la mtu ninayemhusudu na huwa siachi kusoma anachoandika ni womanofsubstance.
nawapenda wote,sina ninayemchukia,wengine nawapendea ucheshi na utani wao,wengine hekima zao,wengine upendo wa kusaidia wengine,lkn jina moja ninaloweza kutaja la mtu ninayemhusudu na huwa siachi kusoma anachoandika ni womanofsubstance.