Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Nani huyo anakununisha?
hapo kunako redi ni ''more-professional''Mpwa hivi ulisema unatumia kinywaji gani vile?
Kwenye blue nahisi kama nimekuelewa
Kwenye black nimekuelewa
Kwenye red.......πππ!!!!!!!!!
hasa huyo bigirita!....Najaribu kukusoma katikati ya mistari, waseminaristi siyo wa kusomwa kijuujuu!
hiyo imetuliaKonyagi, nachanganya na tonic/clubsoda, usisahau na slace za limao
hapo sasa!profesheno ya kaizer hiyoπMhudumuuuuu!
Leta bapa moja na clubsoda ya moto fasta. Na valuu tafadhalie. Afu niitie mtu wa jikoni kabisa!
I have done the needfull Mhe. XpinTangu mwanzo wa thread mpaka hapa tulipo sijaona sehemu uliyonifagilia japo kiduchu. Mimi na wewe tumewahi kugombea mapenzi? Do the needful basi kaka/dada. LOLZ! Hahahaha!
hahahahahah kweli si unakua kuna siku watu wanakuja na thread kam wametoka Baghdadhakuna mtu specific ambaye ananinunisha, ila kuna posts sometimes ukizisoma unakunja sura
Au unataka kunitunuku Ndugu?
Mhudumuuuuu!
Leta bapa moja na clubsoda ya moto fasta. Na valuu tafadhalie. Afu niitie mtu wa jikoni kabisa!
Sasa si umtaje basi? Au mworodheshe kwenye ignore list yako.hakuna mtu specific ambaye ananinunisha, ila kuna posts sometimes ukizisoma unakunja sura
Kwenye red, do the needful basi kwa afya yangu.I have done the needfull Mhe. Xpin
Ila unanifurahisha kitu kimoja mpaka leo hujajua kama mimi ni kaka/dada? hahahahahaha. We mtata
hahahahahah kweli si unakua kuna siku watu wanakuja na thread kam wametoka Baghdad
Huliangalia shamba, na kulinunuaNajaribu kukusoma katikati ya mistari, waseminaristi siyo wa kusomwa kijuujuu!
Mtume Paulo kwa watu wote kaunta!πππKakague mkuu!
Uwakumbushe ndugu mambo hayo, nawe utakuwa mtumishi mwema wa bwana wetu Yesu kristu.
Bali mafundisho ya kizee, uyakatae ujanani mwako.
Haya, taja andiko hili linatoka kwa Paulo Mtume kwenda kwa nani?
Na watu wote waseme Amina!Huliangalia shamba, na kulinunua
Kwa mapato ya mikono yake,
Hupanda mizabibu!!
Najaribu kukusoma katikati ya mistari, waseminaristi siyo wa kusomwa kijuujuu!
Wote sema ameeen!!Mtume Paulo kwa watu wote kaunta!πππ
Sasa si umtaje basi? Au mworodheshe kwenye ignore list yako.
Kwenye red, do the needful basi kwa afya yangu.
Kwenye blue: Nitake radhi tafadhali.
dah best nimekupenda kw akurudisha hii avata kw aafya yangu.....I am used to it!!!
Mhe. Xpin leo unatanua sana maana bht hana mood ya kuandika sio?Na watu wote waseme Amina!
Sasa ni wakati wa kwenda kupata Sakramenti.
Jongeeni kaunta yangu mpate divai iliyo bora!
phrase ipi hiyo? Ungeikoti basi, nimepata hamu ya kujiua kweli, sijui hata ya nani?umenigusa na "phrase" yako apo chini π
hahahahahah kweli si unakua kuna siku watu wanakuja na thread kam wametoka Baghdad
Ndio maana nakupenda, najua kesho asubuhi niki-login in tu nakutana nayo (avatar ilee)Wakaribishwa
Ni tafsida hiyo, nikikujulisha maana yake nitakuwa nimepoteza maana ya lugha, labda nikuPM. Au?Kwa "Baghdad" sijakupata tafadhali, wanaotoka huko wanakuwa na pointi kama zipi? Au hilo neno ni tafsida nini......! nifahamishe tafadhali.