Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
@FORTALEZA,
Vipi siku hizi mbona 'hauisifii' Simba Tena Kama hapo awali?
Naona zile post zako za kuimba mapambio juu ya uwezo wa Simba zimepungua,vp mkuu tatizo ni Nini?Hahaha kwanni mkuu?
Naona zile post zako za kuimba mapambio juu ya uwezo wa Simba zimepungua,vp mkuu tatizo ni Nini?
[emoji3][emoji3] Kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,by the way katika post zako 'unaanzaga' kwa kujitambulisha kua wewe ni yanga afu ndo unaanzaga mapambio.Mimi huwa naandika ninapopata nafasi! Halafu mimi timu yangu ni Wanankurukumbi ambao msimu huu hatufanyi vizuri sana kwenye ligi!
[emoji3][emoji3] Kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu,by the way katika post zako 'unaanzaga' kwa kujitambulisha kua wewe ni yanga afu ndo unaanzaga mapambio.
Ogopa Sana teknolojia[emoji3][emoji3]View attachment 1612581
Mkuu shule umewahi kufaulu kweli!Rooney, Paul scholes
Dah nimekurupuka mkuu kumbe wa kigeni tu.Mkuu shule umewahi kufaulu kweli!
Umeuelewa uzi mkuu??Toa Bruno weka Scholes.
Tevez? Nadhani Andy Cole au yule Dwight Yorke wanaweza kustahili zaidi
Toa Bruno weka Scholes.
Tevez? Nadhani Andy Cole au yule Dwight Yorke wanaweza kustahili zaidi
Tangu pila bilian kuchacha, jamaa akili ime mrudia.