Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,986 Reaction score 5,058 Dec 20, 2011 #21 Mtambuzi said: Na kesho mwenye kupanda zao hilo akija kuilidai utamwambiaje? Click to expand... hata mahakamani huwa wanasema muachie aliyepanda avune we ubaki na shamba lako.
Mtambuzi said: Na kesho mwenye kupanda zao hilo akija kuilidai utamwambiaje? Click to expand... hata mahakamani huwa wanasema muachie aliyepanda avune we ubaki na shamba lako.
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,986 Reaction score 5,058 Dec 20, 2011 #22 kuna mtu niliwahi kutana naye cmfahamu akaniuliza, we mtoto wa Y(jina la dingi) nikakubali. Nilivyomuuliza amenitambuaje,akanambia yaani ulivyotabasamu na kucheka nikajua hii chata ya mzee y. Yawezekana kuna kaukweli hapa
kuna mtu niliwahi kutana naye cmfahamu akaniuliza, we mtoto wa Y(jina la dingi) nikakubali. Nilivyomuuliza amenitambuaje,akanambia yaani ulivyotabasamu na kucheka nikajua hii chata ya mzee y. Yawezekana kuna kaukweli hapa