Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa Hi wana jamvi wote.
Kama ilivyo kawaida kwa binadam mwenye akili timamu hua anakua na ndoto/kutamani kuishi maisha fulani hiviii.
Sasa nakuuliza mwana jukwaa wew unahisi umefikia asilimia ngapi za ndoto zako? Mim binafsi 5% maana niliokua nayatarajia kuyaona ni tofauti na uhalisia.
View attachment 1900395