Unahisi umekata tamaa kabisa ya maisha? Au unaishi maisha yenye misukosuko mingi? Au hufurahii kabisa maisha yako?

Capitrait

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
228
Reaction score
328
Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii.

Ndugu zangu katika Bwana.
Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM ukinielezea kuhusu aina ya misukosuko yanayokukabili hadi kupelekea kukata tamaa.

Zingatia: Nitakachofanya ni kukuelekeza kwenye kweli ya Mungu itakayokutua mizigo yako yote na kuwa huru kufurahia maisha yako mapya katika Mungu.

Karibu sana PM tuzungumze zaidi kwa faragha.
 
Kwanini usielezee hiyo kweli ya Mungu hapahapa ili wote tuijue.
 
Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii.

Ndugu zangu katika Bwana.
Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM ukinielezea kuhusu aina ya misukosuko yanayokukabili hadi kupelekea kukata tamaa.

Zingatia: Nitakachofanya ni kukuelekeza kwenye kweli ya Mungu itakayokutua mizigo yako yote na kuwa huru kufurahia maisha yako mapya katika Mungu.

Karibu sana PM tuzungumze zaidi kwa faragha.
Sasa Masihi ameanza kufanya kazi za kuhubiri kwa kificho? eh! sadaka tunatolea hapa ama PM?
 
Mungu ni mbinafsi sana ndio maana kajificha kuogopa lawama maana unaweza ukamuomba asikupe maana yake ni mchoyo kuna mzee mmoja yaan jirani yangu swala 5 lakini daa matatizo aliyokuwa nayo kila siku yanaongezeka kazi kafukuzwa pesa hana maradhi watoto wanataka kusoma sasa huwa najiuliza huko msikitini anakoenda si amuombe huyo mumgu ushauri ukitegemea kuomba msaada kwa kitu usichokiona ni sawa na kusubiria meli katika kituo cha basi mungu hawezi kukusaidia katika maisha angekuwa na uwezo maskini wasingekuwepo au magonjwa yasingekuwepo
 
Bro shtuka hizo akili ulizonazo sio zako kabsa ,,,kauli za kukufuru hizi utakuja jutia Mungu hadhihakiwi bwana mdogo shauri yako
 
Alshababi Boko haram kila siku wanauwa watu huyo mungu mbona hawapi adhabu yoyote pia unajua maana ya kukufuru
 
Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii.

Ndugu zangu katika Bwana.
Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM ukinielezea kuhusu aina ya misukosuko yanayokukabili hadi kupelekea kukata tamaa.

Zingatia: Nitakachofanya ni kukuelekeza kwenye kweli ya Mungu itakayokutua mizigo yako yote na kuwa huru kufurahia maisha yako mapya katika Mungu.

Karibu sana PM tuzungumze zaidi kwa faragha.
Sijawahi kuifurahia hii dunia namna tu mambo yalivyo muda mwingi huwa naangalia upande wa pili labda mambo yatakuwa tofuati,lakini swali ni je naazia wapi? Nahitaji msaada kwako,utanisaidia vipi?
 
Haya bosi yaishe
Unajifanya unamjua mungu sana au unamepnda sana kama kweli mungu wako ana upendo aanze na boko haram au alshabab kila siku wanauwa watu wanabaka watu mi na hao nani wana dhambi kubwa mbona hawafanyi lolote huyo mungu
 
Back
Top Bottom