Unahitaji Biti za Gospel? Njoo hapa

naomba bits mtumishi yani ndo kanisa letu bado changa so beats tunazotumia ni mbili tu ningeomba bits nyingi za kusifu na kuabudu mkuu 0712579977
 
Hizi beat nazipataje?
nawez zipata kupitia namba yangu hii
0752854339
naomba tafadhari
 
Asante sana
ubarikiwe
Nahitaji hizi beats
nitazipataje?
 
Hata mimi nahitaji sana nazipataje?
 
Mimi naishi Dar kwa sasa, kwa wale watakaohitaji waje na flash, maelezo zaidi njoo PM.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…