Turbulence
Senior Member
- Apr 24, 2012
- 153
- 30
Kilimo Kwanza asante kwa taarifa muhimu. Ni kweli kilimo cha greenhouse kinalipa sana, kwa sababu tija ni kubwa mno! Lakini ni vizuri pia watu waelewe kwamba greenhouse haziwezi kufanya kazi Dar na maeneo mengine ya Pwani kutokana na joto kali na humidity. Greenhouse inakubali kwenye maeneo ya Altitude kuanzia 900m, lakini pia joto lisiwe juu ya 27. Kuna namna ambayo unaweza kufanya greenhouse ifanye kazi Dar, lakini ni high tech, kwa sasa hatuwezi. Watu wengi wa Dar walihamasishwa kununua greenhouse, na wakafanya hivyo. Matokeo yake walipata hasara kubwa, kwa sababu hawakuvuna hata robo ya robo waliyotarajia. Nawafahamu zaidi ya watu 140 waliofunga greenhouse, na sasa wamepata hasara kubwa, wanalia!!. Kitaalam, haishauriwi hata kidogo kufunga greenhouse Dar na Pwani. Ni costfful na painful experience.
Kilimo Kwanza: Kuna utafiti umefanywa na Wizara ya Kilimo na mashirika mengine kuhusiana na matumizi ya greenhouse Dar. Majibu ni kwamba hazifai, labda ziwe special sana. Unaweza kuvuna kidogo ukilima wakati wa baridi kama huu, lakini nyakati nyingine zote za mwaka hazifai kabisa. Kama wewe ni mtaalam, sina shaka kuwa moyoni mwako unaujua huu ukweli. Kuna watu wanatumia ignorance ya watu kuhusiana na hiyo teknolojia, na desperation ya watu kupata pesa ya haraka na kuwadanganya kuwa ati greeenhouse inaweza kufanya kazi vizuri Dar. Kisha wanawauzia, when things fall apart wanakimbia. Huu ni UTAPELI, UDANGANYIFU na TAMAA. Natumai haumo kwenye hili kundi. Ningekuelewa kama unge-promote teknolojia ya "Net", hiyo sawa inafanya kazi vizuri sana Dar na Zanzibar. Greenhouse zitumike maeneo stahili: Moshi, Arusha, Mwanza, etc etc. Greenhouse ni kilimo kinachoweza kubadili maisha ya mkulima, lakini bahati mbaya, mazingira ya dar hayafai kwa hii teknolojia. Huo ndio ukweli
Je huku nzega tabora green house inaweza kufanya kazi vizuri
Nina mpango wa kuitafuta
kilimo kwanza nisaidie wapi na kwabei gani nawezapata drip Irigation system utayotosha eka moja
Unahitaji Greenhouse Ya Chuma(Steel)
- Total galvanized jstructure
- Width - 8mtr
- Length - 15mtr
- Gutter/Shoulder height - 3.0mtr
- Center height - 4.5mtr
- Entrance Door - 1mtr Width by 2mtr Height
- Poly film - 200 microns, anti-drip and anti-mist effect
- HDPE Insect net 80gsm
- Mesh size 32mesh
- Drip line - 16mm diameter with Filter
- Foundation depth - 2.5feet
- Wind speed capacity - 120kmh
[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]Area
[/TD]
[TD]120sqm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tomato Spacing[/TD]
[TD]20cm by 40cm[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Plants[/TD]
[TD]800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Minimum Output[/TD]
[TD]15kg[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Average Price Per Box (40kg)[/TD]
[TD]Shs 30,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total Cost of Production - 7 Month[/TD]
[TD]Shs 600,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Greenhouse Construction[/TD]
[TD]Shs 6,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gross Revenue[/TD]
[TD]Shs 9,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit First Season[/TD]
[TD]Shs 2,400,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit Second Season[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Net Profit Third Season[/TD]
[TD]Shs 8,000,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Inclusive: Pesticides, Fertilizers, Training, Support for First Season, Spray and Fertilizer Programme
NB:
The client should be responsibility to deliver water into the greenhouse
The water pump and water source should be supplied by client
Call us on 0683-644-480
Kwa Dar IPI inafaa?.na hyo yaNET inafanyikaje?Kilimo Kwanza: Kuna utafiti umefanywa na Wizara ya Kilimo na mashirika mengine kuhusiana na matumizi ya greenhouse Dar. Majibu ni kwamba hazifai, labda ziwe special sana. Unaweza kuvuna kidogo ukilima wakati wa baridi kama huu, lakini nyakati nyingine zote za mwaka hazifai kabisa. Kama wewe ni mtaalam, sina shaka kuwa moyoni mwako unaujua huu ukweli. Kuna watu wanatumia ignorance ya watu kuhusiana na hiyo teknolojia, na desperation ya watu kupata pesa ya haraka na kuwadanganya kuwa ati greeenhouse inaweza kufanya kazi vizuri Dar. Kisha wanawauzia, when things fall apart wanakimbia. Huu ni UTAPELI, UDANGANYIFU na TAMAA. Natumai haumo kwenye hili kundi. Ningekuelewa kama unge-promote teknolojia ya "Net", hiyo sawa inafanya kazi vizuri sana Dar na Zanzibar. Greenhouse zitumike maeneo stahili: Moshi, Arusha, Mwanza, etc etc. Greenhouse ni kilimo kinachoweza kubadili maisha ya mkulima, lakini bahati mbaya, mazingira ya dar hayafai kwa hii teknolojia. Huo ndio ukweli