Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 24, 2025 #21 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Jitu la kienyeji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,445 Reaction score 7,987 Aug 24, 2025 #22 Donnie Charlie said: Nini kinakufanya urudi windows 7? Kuna app zinataka utumie windows 7? Tumia compatibility mode itafanya kazi. Windows 7 sipo available kwa torrents ila zinakosa support kwa sasa Na ikitokea umeamua kutumia kutumia windows 7 tumia antivirus strong. Click to expand... Nimekuelewa mkuu, lakini kitu kingine naona inakula sana bundle nadhani kwasababu ya updates kuna mtu Aliniambia windows 7 haina updates
Donnie Charlie said: Nini kinakufanya urudi windows 7? Kuna app zinataka utumie windows 7? Tumia compatibility mode itafanya kazi. Windows 7 sipo available kwa torrents ila zinakosa support kwa sasa Na ikitokea umeamua kutumia kutumia windows 7 tumia antivirus strong. Click to expand... Nimekuelewa mkuu, lakini kitu kingine naona inakula sana bundle nadhani kwasababu ya updates kuna mtu Aliniambia windows 7 haina updates