Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
UNAHITAJI KUWA MUONGO KAMA COMICAL ALLY KUSEMA TINDU LISSU ATASHINDA MBIO.
Leo 20:45hrs 12/10/2020
You need to be Chemical Ally to say that Tindu Lissu will win the marathonšComical Ally fooled all the people including Sadam Hussein himself but not Americans.Tafiti zote ikiwemo ya Al jaizeera ikisema Tindu Lissu atapata asilimia 5% ya kura zote za Watanzania,yeye anasema atashinda mbio,Ni yeye Comical Ally Tindu Lissuš
Comical Ally alipokuwa studio ya Redio Iraq akipiga biti Marekani wakivuka daraja kuingia Baghdad basi hapo yatakuwa makaburi yao,wakati akitangaza hayo Wamarekani walikuwa ndani ya Baghdad wameshateka uwanja wa Ndege wa Baghdad na wakaamua kumfanyia Birthday party mwanajeshi mmoja wa Marekani aliyekuwa akizaliwa siku hiyo.
Comical Ally alipokuwa anaendelea kutangaza ndani ya studio ya Redio Iraq,tayari Wamarekani walikuwa wameiteka studio hiyo,ilisikika milio ya risasi lakini comical Ally alitangaza msiogope mambo ni shwari huku akivua head phone na kutafuta dirisha aruke toka ghorofa ya tatu juuš
Nimalizie kwa kusema vituo vyote vya utafiti vilivyosema Tindu Lissu atapata asilimia 5% vipo sahihi kabisa tena katika hizi wiki mbili zilizobaki kura zitaongezeka kwa Rais Magufuli hadi kufikia 97% sababu ikiwa ni Utendaji kazi wake ulioshinda mioyo ya Wananchi kwa asilimia 100% sasa Rais John Magufuli mwenye Utendaji kazi wa 100% washindane kuomba kazi na Comical Ally Tindu Lissu ambaye hajawahi kufanya kazi yoyote ni dhahiri Comical Ally Tindu Lissu atapata 5% kama sio sifuri kabisa.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.