INAUZWA Unahitaji mashine panakuhusu hapa

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
HABARI Najidakia store tunahusika na utengenezaji pamoja na uagizaji wa mashine mbalimbali kutoka china ofisi yetu inapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi na store yetu ipo ilala

TUNAUZA MASHINE ZIFUATAZO call 0659567058

mashine za ice cream million mbili na laki tano tu
Mashine za chockstick zipo aina mbili yenye kuzalisha piece 80 kwa dakika 15 hii million tatu na laki tisa na piece 40 kwa dakika 15 hii million mbili na laki tisa tu

Mashine za popcorn laki tatu na nusu za umeme na za gesi laki sita tu

Mashine za kukata nyama kwenye bucha kuanzia million moja na laki tatu tu
Mashine ya kusaga nyama laki sita tu


[ATTACH type="full" eg"]1569311[/ATTACH]
 

Attachments

  • IMG_20200828_132545_925.jpeg
    99.7 KB · Views: 3
Mashine ya popsicles au wengi tunaziita lambalamba hii inauwezo wa kuzalisha mpaka piece 3000 kwa siku jipatie yako tunaziita mkombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…