INAUZWA Unahitaji Mashuka ya Kitanda chako? Pita hapa

Nahitaji shuka kaka. Nipunguzie bei maisha yangu magum. Mimi naishi Makongo
 
Okay kuna mzigo mpya tena, Haya ni mashuka size 6"7....
Yanakuwa (mawili na Foronya mbili) kwenye Package.
Materials: Polycotton
Bei: Ni sh.20,000/= tu

Mashuka yapo pow sana, Delivery service ipo kwa wakazi wa Dar es salaam na mikoani natuma pia.

Wewe ukihitaji fanya kunicheki WhatsApp nikutumie sampo hizi uchague rangi utakayo[emoji116]
 
Karibu sana mteja wangu,
Mashuka yapo size zifuatazo;-
-Size 6"6 (shuka 2 na Pillowcases 2) sh.22,000/=
-Size 6"7 (shuka 2 na Pillowcases 2) sh.25,000/=
-Size 7"8 (shuka 2 na Pillowcases 4) sh.30,000/=

WhatsApp +255685269533.
Delivery zipo kwa Dar na Mikoani natuma pia, Ukihitaji nicheki WhatsApp nikutumie sampo uchague rangi utakayo.

Karibu.
 
Okay, maboss kuna mzigo mpya hapa...
-Size 6"7 (shuka 2 na pillowcases 2)
-Sh.22,000 tu.

Kama utahitaji nicheki WhatsApp 0685269533.
Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia.
 
Aisee.. nzuri!
 
KUNA MZIGO MPYA WA MASHUKA FROM UG, UMEINGIA NI MASHUKA MAKUBWA MNO.

Size 8"10fts
(shuka 2 na Foronya 2) kwa sh.28,000/= tu

njoo WhatsApp nikutumie sampo uchague rangi utakayo 0685269533.
 
Mashuka size 8"10fts imagine!!! Mashuka ni makubwa sana, Fanya kunicheki WhatsApp nikutumie sampo uchague rangi utakayo 0685269533

Package ina (shuka 2 na Pillowcases 2) kwa sh.28,000 tu.
Huduma ya Delivery ipo kwa dar na mikoani natuma pia[emoji116]
 
Huweki shuka 3? Wengine hatushei shuka na wanawake zetu. Kila mtu na shuka lake.
 
NEW ARRIVALS [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] NEW ARRIVALS

-Wapendwa katika bwana, Leo kuna collection mpya kabisa ya Mashuka mapya (Rangi ni mpua kabisa)

-Uzuri wa mashuka haya ni ukubwa wake na Ubora pia, Mashuka ni size 8"8fts (Ukubwa ambao unafanya liweze kuenea kitanda cha ukubwa wowote)

-Package yake inakuwa na Mashuka mawili & Foronya zake mbili ambapo utapata kwa sh.28,000/= tu.

-Zipo rangi nyingi na unaweza kunicheki WhatsApp 0685269533 kama utahitaji kuona sampo za rangi mbalimbali na kuweza kuchagua utakayo.

-Huduma ya Delivery inapatikana kwa wateja wa Dar es salaam na wale wa nje ya Dar natuma mikoa yote kabisa na Nchi jirani.

Karibu [emoji116]
 
Karibu sana boss wangu
Package inakuwa na (shuka 2 na Pillowcases 2)
-Sh.28,000/=

Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia, Ukihitaji nicheki WhatsApp 0685269533 nikutumie sampo uchague rangi utakayo.
 
Jipatie Quilt covers nzuri kwaajili ya Duvets au blankets lako, Au pia unaweza kuitumia kama shuka la kawaida kabisa.

Sh.55,000 tu (Quilt,Shuka & Foronya 4)
Cotton [emoji817]

Kama unahitaji nicheki WhatsApp 0685269533.
Au Bonyeza link hii[emoji117] Поделиться в WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…