Yaani difference ya 1 inch ongezeko la bei ni 3000Size 6"6 sh.22,000 (Shuka 2 na Pillowcases 2)
Size 6"7 sh.25,000 (Shuka 2 na Pillowcases 2)
Size 7"8 sh.30,000 (Shuka 2 na Pillowcases 4)
mashuka yapo material aina mbili, wewe ndo machaguzi yako mkuu, kwa maelezo zaidi nicheki WhatsApp 0685269533Material yake ni cotton 100% au? maana yapo mashuka ya aina hii ukiburuza kiganja mida ya usiku kunatika cheche mpaka unaogopa.