New Arrivals, New Arrivals, New arrivals🌟
Mashuka Rangi mpya na size mpya, Hapa nazungumzia size 7"7fts ambayo package yake inakuwa na (Shuka 2, Foronya 4)
Cotton Material✅
Mashuka yangu hayachuji wala kutoa Vipele kama yale yawapayo wasiwasi.
»Tsh.28,000/=
Huduma ya Delivery ipo kwa Wateja waliopo ndani ya Dar es Salaam na Wale Wa nje pia (Zanzibar, Na Mikoa mingine yote na Hata nchi jirani)
Ukihitaji Huduma yangu fanya kunicheki WhatsApp 0685269533.