Unahitaji msaada kwenye research au uandishi wa report?

Unahitaji msaada kwenye research au uandishi wa report?

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,512
Wakuu habari Zenu?

Kama kichwa cha uzi kinavyouliza kama wewe ni mwanafunzi, au unajihusisha na maswala ya tafiti ninaomba nikupatie Msaada wa kitaalamu ili kufanikisha kazi yako ya tafiti. Nina uzoefu mkubwa kwenye maswala haya hivyo nitakufanyia kazi yako kwa weledi.

Vilevile kwa wale ambao mnahitaji Msaada kwenye uandishi wa report, nipo hapa kutoa Msaada wa kitaalamu. Usijipe stress Niko hapa kufanya kazi hiyo kwa ajili yako au kukuongoza kufanya kazi hiyo.

Karibu ajili ya mawasiliano zaidi tuyajenge.

0744220051
Niko Dar

Asanteni.
 
Tunashukuru,naomba kufahamu jinsia yako je wewe ni KE au ME,una level gani ya elimu na umesomea course gani?
 
Back
Top Bottom