UNAHITAJI MUMWE, MKE? Tuma Wasifu wako na Tutakuunganisha

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Salam,
Baada ya Get Together Party iliyofanyika pale PRINCESS HALL-SINZA tarehe 11/08/2013 tunayo furaha kuwafahamisha mpaka sasa tumefanikiwa kuwakutanisha "pairs" 14 ambazo zinaendelea vema na wako kwenye hatua nzuri na tayari wameshapima HIV/AIDS na baada ya muda wataenda step ya kutambulishana nyumbani/kwa wazazi kuelekea katika hatua ya KUFUNGA NDOA. Kwa wale ambao wanahitaji wenza (MUME/MKE) usisite tuma PROFILE/WASIFU wako (JINSIA, UMRI, KAZI, DINI& SIFA ZA UMTAKAE) kupitia JF (ni-PM) na tutakuunganisha ndani ya Masaa 24. Asante.
 
...mmmh kidigitali, ngoja tusubiri watoto wa kidigitalituone watakuwaje, hongera mkuu...
 
Salam,
Baada ya Get Together Party iliyofanyika pale PRINCESS HALL-SINZA tarehe 11/08/2013 tunayo furaha kuwafahamisha mpaka sasa tumefanikiwa kuwakutanisha "pairs" 14 ambazo zinaendelea vema na wako kwenye hatua nzuri na tayari wameshapima HIV/AIDS na baada ya muda wataenda step ya kutambulishana nyumbani/kwa wazazi kuelekea katika hatua ya KUFUNGA NDOA. Kwa wale ambao wanahitaji wenza (MUME/MKE) usisite tuma PROFILE/WASIFU wako (JINSIA, UMRI, KAZI, DINI& SIFA ZA UMTAKAE) kupitia JF (ni-PM) na tutakuunganisha ndani ya Masaa 24. Asante.

Du wenye midomo zege nafasi ndiyo hii.....lkn nina wasiwasi na muunganishaji kwa maisha ya baadaye ndani ya ndoa kwani hajasema kwamba anaishia kuunganisha tu au ataendelea kufuatilia ndoa na kama ndivyo naona atasaidia sana kufaidi wanchofaidi wanandoa wenyewe.....
 
Hahahaaa!
Kazi gani Mkuu?
Kama vipi huu uzi uwekwe STRICTLY!!
Huu utawarahisishia wale wanaoanzisha nyuzi za kutafuta wachumba!!!!!!

Ukishaona Simba anakula mizoga ujue huyo kashazeeka au nguvu hakuna mwilini

Mwanaume na mwanamke hupendeza zaidi wakitongozana katika hali ya asili...
 
Back
Top Bottom