Phone4Sale Unahitaji Simu Nzuri kwa Bajeti ya Laki 3 na nusu?

Phone4Sale Unahitaji Simu Nzuri kwa Bajeti ya Laki 3 na nusu?

Digital Max

Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
11
Reaction score
4
Je,Una Bajeti ya Laki 350k na unahitaji Simu yenye Camera Nzuri inayokaa na Chaji??

Njoo nikuuzie Simu yangu TECNO CAMON 19, Bado Mpyaa kama unavyoiona

[emoji117] 64MP camera, 5000mAH battery na Ram 4GB (6GB expandable) na128GB storage yake

[emoji117] Simu hizi bado hazipo kwa watu wengi, camera yake ni Nzuri sana na Chaji inakaa kinoma

[emoji117] Naiuza Sababu ya Changamoto ya haraka, Ipo na Boksi lake kwa ajili ya Uhalali plus Warranty

[emoji117] BEI nnayoiuza ni 350k tu (350,000/=), Kama unahitaji njoo inbox tuongee

Nicheki PM au Piga/Whatsapp 0627401779

Simu ipo Dar, GOBA
PXL_20230208_090118303.PORTRAIT.jpg
 
Lakini hii Simu ipo Vizuri sana, ipo ktk Excellent Condition imetunzwa ipasavyo kwa hiyo Mtu anaehitaji anicheki akikagua tu mwenyewe ataona ilivonyooka
 
Back
Top Bottom