Softwares Genuine
Member
- Apr 12, 2025
- 99
- 80
Hujui kwamba Baba yako ni meneja wa familia na msaidizi ni mama Yako.Hiki cheo cha meneja tunakitumia vibaya sana
Unapoweka Jambo jaribu kulielezea kidogo kuwapa mwanga wateja wako, siyo wote wanajua hiyo "social media manager" na ufanyajikazi wake, ila unapoelezea unampa uwanja mpana WA mteja kujua umuhimu WA bidhaa unayotangazaUnahitaji social media manager?
- nitakuwa natengeneza simple poster
- kuweka posts kwenye account
- kusimamia akaunti
- na mengineyo
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Kiufupi huyu jamaa ni social media messenger! Kusema manager ni kujimwambafy tu!Hiki cheo cha meneja tunakitumia vibaya sana