INAUZWA Unahitaji urembo mzuri kwa ajili ya ukuta wako karibu kwenye uzi huu

kiba brown

Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
70
Reaction score
46
Je, Umeshabadilisha Muonekano wa Nyumba Yako [emoji3060]
Kama Jibu ni Bado Karibu Wallpanel Decor Tukubadilishie Muonekano wa Nyumba Ofisi Frame n.k [emoji94][emoji16]
Tunaweka Wallpanel design🫣
Square metre 1 =55,000
Kwa pic 1=14,000

[emoji1314]Material yake niya gypsum imara ngumu[emoji1316]
[emoji1314]unaweza kupaka rangi yoyote uipendayo[emoji847]
[emoji1314]kwa wale wenye kuta zenye fangas hili ndio suluhisho lao maana hutapata kuiona fangas tena[emoji16]
[emoji1314]inadumu kwa miaka 10 ni ww tu uamue kubadilisha [emoji3590]‍[emoji91]
[emoji1314]hii ni kwa ajili ya ndani tu[emoji1323]

Location [emoji1314]tupo Tabata Segerea Sheli[emoji625]

Whatsapp/Calling/Text [emoji390][emoji1314]0748279556
pia tuna page facebook @wallpanel decor
instagram wallpanel_decor






 

Attachments

  • IMG_0113.jpg
    226.4 KB · Views: 18
kaaa karibu hapa upate material na mauna mazuri mazuri kufanya ukuta wako uvutie
 






wall mural per square meter 70,000 call 0713459777
~Tupe vipimo vya ukuta wako
~kisha tukupe gharama kamili
~mengine tuachie sisi
KARIBUNI SANAAA
 
slats panel upe ukuta wako muonekano mzuri call 0748279556
 
Niliambiwa nisikimbilie kujenga nyumba, unaona sasa!!
Niliambiwa nisikimbilie kujenga nyumba, unaona sasa!!
Usijutie kitu hapo, wakati wako ukifika wa kujenga nyumba ukifika hizo decor technologies unazoziona Sasa hivi kuwa 'awesome' miaka 5 ijayo itakuwa ni upuuzi mtupu. Technology inaenda mwendo kasi sana.
 
Usijutie kitu hapo, wakati wako ukifika wa kujenga nyumba ukifika hizo decor technologies unazoziona Sasa hivi kuwa 'awesome' miaka 5 ijayo itakuwa ni upuuzi mtupu. Technology inaenda mwendo kasi sana.
Hujaelewa!

Mimi niliyekimbilia kujenga na decor mpya zikija nifanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…