Unahitajika: glass slidding door

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
191
Reaction score
129
Habari!

Natafuta milango ya vioo ya ku slide kama inavoonekana kwenye picha. napatikana Dar es Salaam, kama unafaham wapi naweza kupata tafadhali nitashukuru ukinielekeza.



 
Nadhan mafundi wa aluminium watakuwa wanajua pakuipata...mizuri ila kwenye nyumba zetu zenye watoto..mmh
 
nakutumia namba ya fundi PM, namfahamu ametengeneza sehemu nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…