Unahitajika mchango wa pesa kumtoa Mtanzania mwenzetu wakuu

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720


Angnes katika poziiii






Tuache tofauti zetu.....ila tufanye tuwezalo watanzania tumtoe huyu mtoto lupango sauzi....

 
Moyo wa ukarimu na utaifa utumike........tuache roho mbaya eti tumuache akome.....mods naomba kama mnaweza ipatikane namba ya mpesa au tigo pesa tuanze kutuma pesa kidogo kumsaidia mtz mwenzetu......
 
Ashukuru kakamatiwa South Africa angalau anaweza kuletwa tz kutumikia kifungo chake, ingekuwa China tungeshaanua long time hata matanga yake!
 
bora hizo pesa mnazotaka kuchanga msaidie watoto wadogo wenye matatizo ya moyo waende india kutibiwa
 
Mwambie shemeji yake{basha wa mellisa} akamtoe yule dogo white maana ana hela nyingi sana!
 
Awapanulie tu mapaja watamuachia anamapaja mazuri na anajua kuyaanika, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na urimwengu
 
Pita kwenye vituo vya daladala na uswazi, waangalie vijana hali zao wanavyoteseka na madawa ya kulevya, utagundua huyu mbwea na mimbwea wenzake walitakiwa mpaka sasa wamenyongwa zamani.
 
Dah!Kuna wagonjwa wengi wanateseka katika hospitali zetu sijaona juhudi za hivi ili kuokoa maisha yao,leo mpuuzi anaeangamiza vijana wetu eti achangiwe!!Hivi niulize hajanyongwa?
 
Mkuu peleka hii kitu baraza la utani, lakini kama uko serious mi nasema tuhonge ile gesi yetu ile ya kulee, tuwaulize ndugu zetu wale wanaonaje kujengwa bomba kuelekea south.
 
Sponsor wake ndo akasimamie kumtoa!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…