Unahitajika mchango wa pesa kumtoa Mtanzania mwenzetu wakuu

Angewini hiyo dili angekukumbuka ww?
Au mipaja hiyo ndio inayokuchengua akili wewe mfikiria athumanikichwawazi!
Sh typ yan hata kidole chake kisirudi huku wachnje wafukie hukohuko,asitutengulie swaumu sie
 
Mijitu ka hilo ni kuyapiga risasi hadharani iwe fundisho,inaharibu vijana wadogo na kuwapa wrong ideas kuwa shule si lolote bali waweza tumia shortcut na ukawin,mabinti wengi walofel mwaka jana role models wao ni type za kina agnes ma.----,wategemea nini kwa kizazi hicho katika span ya miaka kumi ijayo kama si disaster?
Angewini hiyo dili angekukumbuka ww?
Au mipaja hiyo ndio inayokuchengua akili wewe mfikiria athumanikichwawazi!
Sh typ yan hata kidole chake kisirudi huku wachnje wafukie hukohuko,asitutengulie swaumu sie
 
Mwambieni jamaa mwenye list ya wauza unga awaite awaambie wakamtoe gubegube...
 
Hapana sababu za kutomchangia huyu binti

1. Kabla ya kukamatwa alitoa picha za dharau na maneno ya kejeli kwa taifa.

2. Vijana wanaoangamia kwa madawa ni wengi sana .

3. Nafikiri kwa vile huyu anafahamika na adhabu yake itatoka nje ya nchi atakuwa ni mfano kwa wenzake (tanzania sijawahi kusikia hukumu ya madawa ya kulevya zaidi ya kumatwa tu )

4. Tukimchangia atahisi anapendwa na watu wamefurahi anachokifanya hadi watanzania wamemchangia ili atoke atarudi kifua mbele kama shujaa kwa kuona tumebariki.

Muacheni awe fundisho kwa wenzake na ingekuwa vizuri kama kila hatua inayoendelea huko iwe inatajwa na wengine watambue uhatari wa biashara hiyo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wabongo mna roho mbaya sana....


 
Mtanzania mwenzetu anateseka muache roho mbaya......
...

mwenzetu mtanzania mashaalaah...kushoto aiseeee.......wakuu mboni mods hawafanyi mchakato??
 
Ntafurah sana nikisikia amehukumiwa adhabu ya kifo.
 
Tupe contacts za anaekusanya michango tumpatie
 
Mikataba baina ya China na Tanzania ina tija kwa wakina dada wetu
 
mchuma janga hula na wakwao
wenye moyo wa dhahabu watachanga lkn mimi hali yangu ngumu!
 
Je kuna Mtanzania anayeipenda Tanzania na vijana, pamoja na nguvu kazi yake, amechanga? Nomba Mungu Mtanzania mmoja maarufu akamatwe huko China ili nione kama hai wanojiita Watanzania walendo watafanya jitihada angamizi kama hizi, au la!
 
Mwambie shemeji yake{basha wa mellisa} akamtoe yule dogo white maana ana hela nyingi sana!

Rummy.?,,, migold miiiingiiii km demu...hela nyingi zenyewe za cocaine....wakoooomeeee...kwanza na bwanake aggy yuko wPi..yule rasta komu...si ndo walomuingiza..wamtoe
 
Mtanzania mwenzetu anateseka muache roho mbaya......
...

mwenzetu mtanzania mashaalaah...kushoto aiseeee.......wakuu mboni mods hawafanyi mchakato??

Halafu na haka ka LINA SANGA kajiangalie..wk mbili zilizopita walikua wote south na agness mpk wakarusha hiyo pic instagram. ..naona walivyorudi ka aggy kaka geuza...achangi mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…