Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Igoma mtaa wa kilimo Aigoma maeneo gani
Unafeli sana mkuu.Staili mpya,
Unamkopesha mtu halafu anakurushia jini
Riba ya 20% vipi? Atalipa kwa muda gani hilo deni?Habari za mida hii wakubwa?
naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.
kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo).
Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote zitafuatwa.
Huyu mama (na mumewe) anafanya biashara ya mama ntilie, kwa mujibu wake, mwisho wa mwezi anaingiza faida Tsh 500,000 minimum.
Benki imeshindikana kwa sababu hana TIN namba na leseni ya biashara.
Karibuni
Asante kwa ushauri mama lissu.Mwambie atafute leseni mbona mapema sana tu...aende bank...
Ukiona mtu hataki kufuata taasisi zilizopo kisheria huyo mpigaji tu hamna jipya anataka akopeshwe aanze kusumbua watuMwambie atafute leseni mbona mapema sana tu...aende bank...
Taasisi za kifedha kama bank, zitamuitaji kuzungusha tena account yake aweze kukizi vigezo.Kwani kutafuta tin na leseni bei gani au kuna usumbufu kiasi gani ili aje kuomba mkopo kwa watu binafsi. Me nashauri atafute hivyo vigezo alaf akaombe mkopo kwenye taasisi husika za kifedha huwez ukawa unaingiza minimum 500k alaf ushindwe kutafuta tin na leseni ukachukua mkopo sehem zinazoelewekablabda kama ni wakopaji wasiolipa ili waje wasumbue watu
mm pia niko igoma ila shughuri zangu town,,nina leseni na tin changamoto ya kupata mkopo benki ni mzamana kama yuko tayari aje ibox tuyajengeigoma maeneo gani
mkopo afanyie nini hujatuambiaHabari za mida hii wakubwa?
Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.
Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo).
Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote zitafuatwa.
Huyu mama (na mumewe) anafanya biashara ya mama ntilie, kwa mujibu wake, mwisho wa mwezi anaingiza faida Tsh 500,000 minimum.
Benki imeshindikana kwa sababu hana TIN namba na leseni ya biashara.
Karibuni
Mkuu funguka zaidi, kuna kitu kama umekiacha kwenye mafumbo.Staili mpya,
Unamkopesha mtu halafu anakurushia jini
Nimewahi ona hili kwa macho yangu hata Binafsi limeshanikuta unamsaidia mtu kwa kumkopesha baada ya muda anaona uchungu kukulipa anaona sio haki yako tena anaona ni yake kabisaa kazi moto inaanzia hapo sasa, ogopa sana kumkopesha mtu mamilion 2-10, moja unaweza msamehe tu, mkopaji ananza kazi ya kukupiga kitabu, unaanza kushanga mtu unamdai halafu unaanza kumwogopa unajiuliza nini hiki? Unakaza unamwendea anaona wewe ni sugu Anakupiga Jini kabisa unaharibikiwa, DUNIA HII YA AJABU SANAMkuu funguka zaidi, kuna kitu kama umekiacha kwenye mafumbo.
Pigia mstari binafsi mimimiaka kumi nyuma nilikuwa na huruma sana nikawa nawakopesha sana hawa raia ilifika mpaka nikawa nadai milioni 27 kwa watu 5 hv kuwadai nikawa naona aibu imeenda hyo hali baadae ikabidi niwe mkali kuanza kudai kwa nguvu kilichonikuta aisee nina maisha ya ajabu sana kutoka kumiliki pesa mpka kuishi kwa kutangatanga usithubutu kbsa kukopesha binadamu ni wabaya wabaya sana hbri ni ndefu sana nimefupisha tuNimewahi ona hili kwa macho yangu hata Binafsi limeshanikuta unamsaidia mtu kwa kumkopesha baada ya muda anaona uchungu kukulipa anaona sio haki yako tena anaona ni yake kabisaa kazi moto inaanzia hapo sasa, ogopa sana kumkopesha mtu mamilion 2-10, moja unaweza msamehe tu, mkopaji ananza kazi ya kukupiga kitabu, unaanza kushanga mtu unamdai halafu unaanza kumwogopa unajiuliza nini hiki? Unakaza unamwendea anaona wewe ni sugu Anakupiga Jini kabisa unaharibikiwa, DUNIA HII YA AJABU SANA
Pole sana ndg na mimi pia huruma hizi sometimes, LENGO SI KUHARIBU MADA YA MTOA HOJA, HUWENDA ANA NIA NJEMA TU, SHIDA NI PALE BIASHARA ITAKAPOENDA VIRAL /ALLAUH ATUNUSURUPigia mstari binafsi mimimiaka kumi nyuma nilikuwa na huruma sana nikawa nawakopesha sana hawa raia ilifika mpaka nikawa nadai milioni 27 kwa watu 5 hv kuwadai nikawa naona aibu imeenda hyo hali baadae ikabidi niwe mkali kuanza kudai kwa nguvu kilichonikuta aisee nina maisha ya ajabu sana kutoka kumiliki pesa mpka kuishi kwa kutangatanga usithubutu kbsa kukopesha binadamu ni wabaya wabaya sana hbri ni ndefu sana nimefupisha tu