Kwanza pole na kikao na yule mmoja wa ma tycoons, hizo habari unazonipa zote nimefuatilia nimekuta ziko poa...... Sasa i dont see any mentioning of me getting the work .... Boss Speaker umeona lakini nilivyotangaza business???
hahahaha,hakyanani!
inabidi ufanyiwe usaili,what can you do kuhusiana na the issue?
so far unaweza kua advertiser mzuri sana,...what else?
kwanza kabisa nitahakikisha hizo Note zako watu wanazitazama positively .... yaani badala ya
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafutiliwa katika mawasiliano waliachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo!
Itakua;
Note:
1.Rafiki yangu ali m-track girlfriend wake,msichana alipo gundua anafuatiliwa katika mawasiliano akagundua anapendwa saana na huyo boyfrnd - mpaka kijana akaonekana hana focus na maisha kwa ajili ya kumpenda; kwa kuridhia wote wawili wakaamua kuachana!
2.kuna msichana alim-track boyfriend wake,alipo pata alichotaka alifeli mitihini yake kwa mawazo! Ila bahati nzuri alijitetea kwa Vice chancellor wa chuo na akaruhusiwa kufanya upya mtihani - this time alifaulu.
Niambie Boss hio haitoshi ???
Hahaha,sawa asha,...
ngoja tuvuke hili daraja tulilopo kwanza,...
tuna tafuta usajili wa kampuni,kuepuka matokeo mabaya ya hii kitu maana
unaweza kushitakiwa kwa kuingilia uhuru wa watu kuwasiliana,...
tuna tafuta kujitetea kwamba kazi yetu ni kutengeneza software,...
dup,complications but ndani ya week ijayo kila kitu kitakua byeee
Unamwamini huyu jamaa?Safi saana....
Unamwamini huyu jamaa?
Jamani,kwani wewe hauniamini?
Nina doubt na hiyo technology yakoJamani,kwani wewe hauniamini?
Utajipa presha ya bure tu achana na nii, furahia maisha at the momentWe acha tu, si unajua housewives sometime unakua desperate nawe wataka uchangie walau kidogo home.... Akiniingiza chaka I have people to protect me....LOL
Utajipa presha ya bure tu achana na nii, furahia maisha at the moment
Naihitaji hiyo kitu mkuu!
Lakini hujataja gharama zake au inakuwa bure?
Mpaka sasa hivi wako kama kumi hiviHii issue imekaa kama loliondo vile! Mwasapile mpya amebuka?
Ni kupoteza muda, probably na vijisenti - Siwezi ku-spy my dear wife, no, never!