Unaibiwa?? chukua dawa

lengo la hicho kitu nikubomoa tuu mahusiano ya watu maana 99% yawatakao hitaji hiyo mbinu wataishia kuachana, mie sioni sababu ya hicho kisoftweya cha uchonganishi
 
lengo la hicho kitu nikubomoa tuu mahusiano ya watu maana 99% yawatakao hitaji hiyo mbinu wataishia kuachana, mie sioni sababu ya hicho kisoftweya cha uchonganishi

Ni Option kukichukua au kukiacha!
 
Speaker unataka watu waanze ku confess humu humu! Naona amani za watu zimefifia ghafla
 
Speaker unataka watu waanze ku confess humu humu! Naona amani za watu zimefifia ghafla

Ulikua wapi rafiki... umeona mambo yalivyoharibkia ??? kazi na form zote nilikusanya na kugawa jana ni bure...
 
Speaker unataka watu waanze ku confess humu humu! Naona amani za watu zimefifia ghafla

huyu jamaa (ambae ni mshkaji wangu na memba wa humu,nilikua sijui kama ni yeye) kanambia atakuja kutoa ushuhuda,.
nahisi yuko tyt kidogo
 
mkuu apo kweli technolgy imekua

naomba tuwasiliane nami ni nunue nimpe wife coz haniamini kabisa, siruhusiwi ata kutoka home. ukiomba kutoka tuuu tayari kelele ;;;malaya zako washakupigia simu sasa unaenda kuonana nao.....bora nikampa ili awe anantarack na akawa na amani

silence plz genius at work
 
TheOne umeona eeh. Hii kitu si mbaya kama watu wanavyodhania. Inaweza saidia kukuza penzi na uaminifu na kuondoa wasiwasi wa kuhisiana vibaya! Kwani mtu waweza sema ninampa wife software alafu nazima simu asinitrace, ukizima simu akipiga hakupati unalo! Your phone as to be reachable 24/7.

Ila unaweza kupona na magonjwa kibao ukijua ana wadudu kiasi gani mwilini mwake kwa
uchafu anao jijazia kila siku!
Ndg yangu hatari kaka,mie ninavyompenda my wife wangu naweza nikazirai nikijua ya kuwa wanam do huko nje.
 
Kama una roho nyepesi hii kitu hushauriwi kutest aisee. Tuachie sie akina NK wenye roho za Paka.

Ndg yangu hatari kaka,mie ninavyompenda my wife wangu naweza nikazirai nikijua ya kuwa wanam do huko nje.
 
Tupe hizo mbinu mkuu,au utueleze tufanye nini kwa atakaye penda,umedokeza kwa mbali sana.
 
lengo la hicho kitu nikubomoa tuu mahusiano ya watu maana 99% yawatakao hitaji hiyo mbinu wataishia kuachana, mie sioni sababu ya hicho kisoftweya cha uchonganishi
Kabisa mie akinitrace dakika mbili tu anadondoka chini
 
duh hii kiboko.

binafsi nisingependa kutafuta matatizo, ya nini kujipa presha nikafa kabla ya siku.
wacha itokee automatically nimeona changes au niumesikia then nitaanza kufwatilia..sio hujasikia hujafumania unachokonoa..duuh
presha presha mie akaa
 
Utakuwa unaingilia uhuru wa mtu sio sahii na sheria za mawasiliano hazirusu.
 
Si umesikia yuko kwenye process ya ku legalize. Kama nchi za wenzetu hii ni biashara why not Tz. Dunia kijiji bwana, mtabana asianzishe kampuni Tz mtu ananunua software online toka US, can you cotrol that?

Utakuwa unaingilia uhuru wa mtu sio sahii na sheria za mawasiliano hazirusu.
 
Tuwasiliane kwenye email yangu
 
wee speaker wee.....utatufanya wenzio tufe mwili na roho.......mi usinifundishe kabisaaa....maisha bado matamu........tatizo sasa na huyo mwenzangu akisoma hii thread
hapo ndio utam kolea mna ana yy atatuma namba yeke apewe muongozo wa kukuchunguza so itakua ka wasakana wakutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…