Unaibiwa?? chukua dawa

Hii program imeishia wapi?.Clemmy jitokeze utoe ufafanuzi kampuni imeshasajiriwa.
 
mimi wangu najua ni kicheche ila namnyamazia tu..sina jinsi.
 
ngoja achukue details zenu akakwangue salio lote la m pesa
 
Ukimchunguza kuku hutamla. ya nini nikose utamu kwa kuplay upelelezi ambao utaniumiza roho yangu.
 
mbona mkuu tumeshaPM lakin hatuoni kinacheendelea maana hapa presha zimeshaanza kupanda na kushuka.
 
Wakuu hii Program ilishafeli toka mwezi wa sita nashangaa hii thread imefufuliwa tena na ishu ilikuwa kwenye Code za hiyo Program maana ukiitumia baada ya muda simu zilikuwa zinaharibika kabisa na information zako zote kuhusu simu zilikuwa zinatumwa kwa Hackers.
Poleni mimi ninayo lakini ni lazima hiyo Program iwe installed kwenye simu ya Mwenzi wako.. na itarekodi kila kitu sauti, message, na namba za simu pamoja muda simu ilipopigwa au kupokelewa..
if you need just PM
 
Tafadhali weka hadharani hiyo software au mbinu ili anayependa ku-track aendelee
 

Then baada ya kufumania? Wanaachana na huyo mwizi mwenzio? N then u unamuacha? Why kuishi na kutembea na moyo wa mtu mzima si mtoto! Eti kapita wapi, kakatisha wapi na nani? Unless u want a divorce then unatafuta ushahidi! maisha hayo yalinishinda bana. U loose urself badala ya kuwa na maisha yako unaishi kwa hofu ya binadamu mwingine. Ladies we can be smarter than that.
 
Hii program imeishia wapi?.Clemmy jitokeze utoe ufafanuzi kampuni imeshasajiriwa.

Hello,
Baada ya purukushani za takribani mwaka mzima
tumeweza kusajili kampuni na kwakua ulimwengu wa sayansi
hauna limit,...tunaangalia uwezekano wa kui release soon.
Stay in touch.
 

Manyanza habari za siku.
Ni show time now,watu wako kazini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…