Unaifahamuje pugu boyz' sec/high school?

Nilikuwa nakampenzi pale Pugu karikuwa kanakaa Mapinduzi tukaachana kwa sababu ya Pu.mbu erosion isiyopona (nilidhani gonjwa la zinaa) karinionesha sehemu karipoipata{pondi)
Mapenzi ya skul bwana?
 
Nilikuwa nakampenzi pale Pugu karikuwa kanakaa Mapinduzi tukaachana kwa sababu ya Pu.mbu erosion isiyopona (nilidhani gonjwa la zinaa) karinionesha sehemu karipoipata{pondi)
Mapenzi ya skul bwana?

umetsha sas ndo habar za pugu hzo
 
Nilitaka kusaha!
MWALIMU NaMPANDA. Mtaalamu wa kukmbzi student akiludi ofcn walmu wenzake wanamkimbia kwa kutoa harufu
 
Nilikuwa nakampenzi pale Pugu karikuwa kanakaa Mapinduzi tukaachana kwa sababu ya Pu.mbu erosion isiyopona (nilidhani gonjwa la zinaa) karinionesha sehemu karipoipata{pondi)
Mapenzi ya skul bwana?

dada white umetisha! Ile sio gonjwa la zinaa ni kaugonjwa ketu tulikokazoea, ukienda kwa nes wa shule anakuambia uende dispensary ya Kajiungen!,af dawa yake ilikua inawasha sana!
 
Hee mumenikumbusha mbali nyie vijana. Mimi nilisoma Pugu (mara nyingine tukiita Mwakanga) Form 5 na 6 enzi za kusafiri kwa waranti za serikali - 1974 - 75.
 
ha haa haaaa! wazee wa fangas mpo?
Dah kaka umenikumbusha sana watoto wa taasisi....
 
Nilikuwa hapo mwaka 1983 nini 20.... ! angalieni mambo ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…