Unaijua biashara? Faida na hasara je, unaziwazia?

MrishoKafir

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25
Reaction score
2
Yan kwa jinsi ninavokujua wewe apo, ukipewa laki5 500,000 sahiv utaifanyia nin? utafungua biashara gan mda huu?

weng uwa tunamalengo lakin ukizkamataa tu yanaanza mambo ya bata ndefu hatari,

biashara ni kitu knahitaji fikra na hakiitaji kumuangalia flan eti katusua, tumia akili yako vzur utatoboa2
 

Sio kila mtu amezaliwa kuwa mfanyabiashara/mjasiriamali.
Wengine ni employees materials.
Mjasiriamali hata ukimpa 50,000 huwezi mkuta anauliza aifanyie nin hiyo hela.
 
we dick, skukatalii sawa,lakn ukipewa hela hukua na wazo la kupata wala kufanya biashara lazma umwage radh, ww ulikaa chin na ukagundua nn cha kufanya juu ya 50,000
 
bavaria ndo mana nkasema kwa mfano, haya 2fanye kwel, yakushtukza uwa inasumbua ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…