the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei za kwenye jagi mezani ni afu mbili kushuka, ukiwa hata na mia 8 unakula.Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito?
View attachment 3207731
Hahaha mkuu mia nane ni bila mboga au?Bei za kwenye jagi mezani ni afu mbili kushuka, ukiwa hata na mia 8 unakula.
Unaogopa kuuziwa soda elfu tano?Hamuulizi bei kabla ya kuagiza?
Hata soda bei inajulikana ila sehemu mpya lazima niulize kabla sijaagiza au haijafunguliwa
Salimieni watu tuwape machimboHahaha mkuu mia nane ni bila mboga au?