T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Jan 20, 2025 #1 Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito?
Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jan 21, 2025 #2 the guardian 17 said: Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito? View attachment 3207731 Click to expand... Bei za kwenye jagi mezani ni afu mbili kushuka, ukiwa hata na mia 8 unakula.
the guardian 17 said: Wakuu wewe ukifika mgahawani huwa unazingatia nini ili kutambua gharama za hapo ili usije kupigwa na kitu kizito? View attachment 3207731 Click to expand... Bei za kwenye jagi mezani ni afu mbili kushuka, ukiwa hata na mia 8 unakula.
T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Jan 21, 2025 Thread starter #3 Half american said: Bei za kwenye jagi mezani ni afu mbili kushuka, ukiwa hata na mia 8 unakula. Click to expand... Hahaha mkuu mia nane ni bila mboga au?
Half american said: Bei za kwenye jagi mezani ni afu mbili kushuka, ukiwa hata na mia 8 unakula. Click to expand... Hahaha mkuu mia nane ni bila mboga au?
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 7,845 Reaction score 16,942 Jan 21, 2025 #4 Hamuulizi bei kabla ya kuagiza? Hata soda bei inajulikana ila sehemu mpya lazima niulize kabla sijaagiza au haijafunguliwa
Hamuulizi bei kabla ya kuagiza? Hata soda bei inajulikana ila sehemu mpya lazima niulize kabla sijaagiza au haijafunguliwa
T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Jan 21, 2025 Thread starter #5 ISO M.CodD said: Hamuulizi bei kabla ya kuagiza? Hata soda bei inajulikana ila sehemu mpya lazima niulize kabla sijaagiza au haijafunguliwa Click to expand... Unaogopa kuuziwa soda elfu tano?
ISO M.CodD said: Hamuulizi bei kabla ya kuagiza? Hata soda bei inajulikana ila sehemu mpya lazima niulize kabla sijaagiza au haijafunguliwa Click to expand... Unaogopa kuuziwa soda elfu tano?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jan 21, 2025 #6 the guardian 17 said: Hahaha mkuu mia nane ni bila mboga au? Click to expand... Salimieni watu tuwape machimbo
the guardian 17 said: Hahaha mkuu mia nane ni bila mboga au? Click to expand... Salimieni watu tuwape machimbo