Unaijua hii kwa Mwanamke wako? (Chit nikuchit)

Nobrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
248
Reaction score
699
Iko hivi, wanawake wengi wanamiliki wanaume wawili, Mwanaume wa pili anajua Kabisa kuwa huyo demu ana Mshikaji wake anakula pale (mpenzi, mchumba au mume), ila yule Mwamba wa kwanza anajua Yuko peke yake[emoji2960]

Ila pia huyo mshikaji wa Pili anaye mwanamke ambaye anaamini na yeye yuko peke yake kama Shikaji wa Kwanza. Ishawahi kukutokea Hii? Na Kwa Demu wako unaye amini uko peke yako, ni kweli hakukuwa na wahuni wanasasambua Nyapu?[emoji4]
 
Ngoja kwanza nitakuja kutoa ushuhuda wa hili hapahapa.

It is true
 
Hii ni kweli kbs ila kwa upande wng ni kwa ma ex wng karibia wote now wapo na watu wao wengin ila me namega t kimasihara halaf jamaa wanahasi wapo wao peke ayo daah yaaani kuna muda roho inanisuta ila ndo ivo tena hakuna namna 😂
 
That's is true
 
Kwa kweli tutafika nchi ya ahadi tupo hoi...
Yaani kila mtu anmcheat mwenzie na mke Ana chit na mme an chit yaani ngoma droo Cha muhimu tu kila mtu ajitahidi amfiche mwenzie asijue kinachoendelea..
 
Siku hizi kucheat imekuwa jambo la kawaida kabisa.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Leo nipo Hoteli flani ambayo nilikuwa nimefikia Kikazi kama wiki mbili hili, nikawa napiga stori pale reception na Wafanyakaz wa hotel.
Akaja jamaa mmoja anaonekana ni ealy 30's yaani ni chini ya miaka 35. Akachukua room ya Sh. 95 elfu akazama ndani.

Baada ya Muda akaingia Mmama (anawajukuu kabisa maana namfahamu, nilikuwa nakula Binti yake ambaye anawatoto wawili sahizi .)

Basi yule mama aliponiona alishituka kidogo lakini akajikaza, na Kunipa Salam "Mambo, Nobrain " nikamuitikia Kisha akapokelewa na yule jamaa kwa Mabusu Mengi sana wakazama ndani.

Kesho yake me natoka Hotel naingia Mtaani kuzurula na yeye ndo anatolewa kwa Kuagwa na mabusu kiana.

Daaah, nikasema dunia Tutafika kwa Taabu sana Nchi ya Ahadi, maana yule mama tunamuheshimu sana mtaani pamoja na Mume wake.

Mumewe pia nimewahi kumkuta kiwanja Flani hapa mkoani yupo na Dem wa mshikaji wangu, kumbe naye huwa anakula pale[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…