Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kama hauja itazama itafute unakosa mambo mengi sana ina muhusu bwana mdogo edi mora ambaye alikuwa maskini choka mbaya sana hadi kukimbiwa na mkewe baadae anakuja kukutana na shemeji yake ana mpa dili kumbe ni dili hatari la vidonge vya dawa za kulevya ambavyo ukila unapata akili sana uki vikosa unapata arosto sana sasa siku moja anaenda kumcheki shemeji yake anamkuta kafariki na kuna wahuni wanatafuta vidonge je edi mora atafanyaje ataishije.