Unaijua namba ya airtell ya dr.kikwete?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Wana Jamvi,

Naombeni namba ya Airtel ya Dr. Kikwete, kuna kitu muhimu nataka kumshauri. Kuna mtu amenipigia analalamika ati kwa nini ameachwa kwenye baraza jipya la mawaziri. Mie nataka nimshauri Rais amjumuishe wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku.

Nimejaribu namba zake nyingine, lakini zote hazipatikani.

Nisaidieni.
 
Muuliza Rostam Aziz ndio mmojawapo wamiliki wakuu mpya wa kampuni hiyo kwa kujificha mgongoni mwao wahindi atakupa.
 
+255 787 770770 au pata tigo kwa Preta!!
 
Duh! Namba achana nayo, we la kufanya aombe mmoja wa mawaziri afe nafasi itakua yake. Usimsumbue JK kwa sasa yuko busy anatafuta dawa ya CHAD....MA
 

yuko nje ya nchi anabembea...
 
Unaweza kutumia airtel customer care, he is one of the directors....you will not miss him and it is toll free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…