Unaijua nchi yako kweli? niambie haya maeneo yako wapi

Hizi nyumba ni makazi ya Watanzania? Ni nyumba bora au bora nyumba?
 
hawa waendesha pikipiki siwafagilii kabisa especially nikiwa nadrive siwapendi kabisa wapitepite karibu yangu
 
Watanzania wanaishi humu kama hujui...ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee itikia basi man


Hizo nyumba zipo Dar, ina maana ni ofisi za Watanzania na wao wanaishi kwenye tembe? Na hilo tembe ndio kiota chako unawaelekeza wageni wako?

Any way, nana na wewe unaporomosha tembe lako la kisasa hapo nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…