Unaikumbuka blogspot gani enzi hizo?

Unaikumbuka blogspot gani enzi hizo?

byakunu

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
583
Reaction score
1,318
Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi.

1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za maendeleo ya mikoa
2. Dinahicious blog mambo ya malavidavi na mahaba ili kua chimbo balaa sana
3. Zeutamu blog hapa ndo kama twitter alivyo shetani8
4. Bongo5 mambo ya muziki na entertainment (lakini hawa wamejitahidi kubadilika kuja kuwa website na mpaka leo wapo?
5.Darhotwire ilikua mambo ya miziki sana
6.Michuzi blog mambo ya news, huyu nadhani bado yupo

Lakini siku hizi naona blogspots karibia zote zilizimwa au zimekufa , changamoto sijawahi kujua ni nini, Zingine zinazofanya kazi au ulizowahi kuzijua nakuzipenda basi share
 
Rahatupu ilikua balaa Sana mule ndani Kuna jini anaitwa washawasha BC hatari tupu ukiangalia nikipndi cha balehe ni hubaki salama mwendo wa kujichukukia sheria mkononi tug[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi.

1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za maendeleo ya mikoa
2. Dinahicious blog mambo ya malavidavi na mahaba ili kua chimbo balaa sana
3. Zeutamu blog hapa ndo kama twitter alivyo shetani8
4. Bongo5 mambo ya muziki na entertainment (lakini hawa wamejitahidi kubadilika kuja kuwa website na mpaka leo wapo?
5.Darhotwire ilikua mambo ya miziki sana
6.Michuzi blog mambo ya news, huyu nadhani bado yupo

Lakini siku hizi naona blogspots karibia zote zilizimwa au zimekufa , changamoto sijawahi kujua ni nini, Zingine zinazofanya kazi au ulizowahi kuzijua nakuzipenda basi share
George-buliki
 
Duuuh those days nigeamua kuchanga karata vizuri ningekuwa billionaire now day 😢
 
Back
Top Bottom