Unaikumbuka "Channel Afrika" idhaa ya Kiswahili iliyokuwa Afrika Kusini?

Unaikumbuka "Channel Afrika" idhaa ya Kiswahili iliyokuwa Afrika Kusini?

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Enzi hizo miaka ya 1993, 1994, 1995 ikifika saa 11 kasoro jioni kale ka mlio ka ndege kanaanza kulia. Ikifuatiwa na muziki mzuri wa reggae hasa Luck Dube. Those days were so beautiful and astonishing.

Mimi namkumbuka sana mtangazaji wa kike nadhani kwa sasa ni marehemu "Jane Zondo"
 
Ilisikika sana mikoa ya kusini, hasa Iringa na Mbeya.

Nilikuwa nasoma Mbeya kwa wakati huo
 
Back
Top Bottom