Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
yaan mie na mamipira tofautiiiiiii
Super Frank LampardIlikuwa ndio msimu wa kwanza wa Jose Mourinho ndani ya kikosi hiki cha Chelsea.
Chelsea walichukua ubingwa wa EPL kwa point 95 ambazo hazijawahi kufikiwa na timu yoyote mpaka leo, huku wakiruhusu magoli 15 tu ndani ya EPL wakimaliza msimu kwa kufungwa mechi moja tu. Je unaikumbuka Chelsea hii? Karibuni tukumbushane...
Timu siipendi hiii....Super Frank Lampard
Claudio Makelele makata umeme kutoka Los Blancos
William Galasy
Hahaahaaaahaahahaha@SumbaiTimu siipendi hiii....
Hahaahaaaahaahahaha@SumbaiTimu siipendi hiii....