Unaikumbuka hii CCM? : Mwenyekiti Mkapa, Katibu mkuu Mangula, Makamu Malecela na Mwenyekiti UVCCM Dr Nchimbi na Mwenezi DSM Haji Manara

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni vema ukawa unajikumbusha Safu za Uongozi katika Awamu mbalimbali

Watu wametoka mbali kufikia malengo yao ya kisiasa

Ahsanteni sana 😄
 
Hiyo ni CCM ya 2000-2005, miaka 20 iliyopita. Wakati huo Manara na Nchimbi umri ukiwa early 40s.
Hapo ndipo utajua kuwa Manara ni mzee mstaafu aliyeamua kuwa kijana kwa lazima.
 
Nadhani ni early 30's
 
Hiyo ni CCM ya 2000-2005, miaka 20 iliyopita. Wakati huo Manara na Nchimbi umri ukiwa early 40s.
Hapo ndipo utajua kuwa Manara ni mzee mstaafu aliyeamua kuwa kijana kwa lazima.
Haiwezi kuwa early 40s halafu leo wawe na 50,ni miaka 20 nyuma
 
Back
Top Bottom