johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nchi ilipata faida gani hasa kutokana na Combination hiyo?Ni vema ukawa unajikumbusha Safu za Uongozi katika Awamu mbalimbali
Watu wametoka mbali kufikia malengo yao ya kisiasa
Ahsanteni sana π
Nadhani ni early 30'sHiyo ni CCM ya 2000-2005, miaka 20 iliyopita. Wakati huo Manara na Nchimbi umri ukiwa early 40s.
Hapo ndipo utajua kuwa Manara ni mzee mstaafu aliyeamua kuwa kijana kwa lazima.
Manara akatapeli magari ya watuNi vema ukawa unajikumbusha Safu za Uongozi katika Awamu mbalimbali
Watu wametoka mbali kufikia malengo yao ya kisiasa
Ahsanteni sana π
Haiwezi kuwa early 40s halafu leo wawe na 50,ni miaka 20 nyumaHiyo ni CCM ya 2000-2005, miaka 20 iliyopita. Wakati huo Manara na Nchimbi umri ukiwa early 40s.
Hapo ndipo utajua kuwa Manara ni mzee mstaafu aliyeamua kuwa kijana kwa lazima.
Wewe ni muongo mkubwa.Hiyo ni CCM ya 2000-2005, miaka 20 iliyopita. Wakati huo Manara na Nchimbi umri ukiwa early 40s.
Hapo ndipo utajua kuwa Manara ni mzee mstaafu aliyeamua kuwa kijana kwa lazima.
Huyo ni muongo sana huyo.anafikiri hili jukwaa ni la watoto wenzake.Haiwezi kuwa early 40s halafu leo wawe na 50,ni miaka 20 nyuma