Unaikumbuka intaneti ya Bure ya Zain/Airtel??

Unaikumbuka intaneti ya Bure ya Zain/Airtel??

The Garang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
2,880
Reaction score
4,830
Vizuri havidumu, miaka ya 2010s Huu mtandao ulikuwa ukitoa net ya Bure kuanzia saa nne usiku Hadi saa 12 asubuhi.

Wakati huo nlikuwa natumia modem nakesha fb, nimecheki sana sites za mapenzi lakini zaidi ya hapo nlikuwa nakesha kuangalia PORN hadi asubuhi[emoji25].

Ujana maji ya moto, nawashukuruni Airtel kwa ile ofa yenu I wish ingejirudia Tena this time PORN sites sio mdau Tena.
 
Back
Top Bottom